Monday, April 9, 2012

Waliokatiza banda la Wedding Bells

Ni pamoja na Ilala mayor Jerry Slaa.......tukiangalia jinsi picha za Nargis na za Dorice zilivyopendeza..

Minister of information, Youth, Culture and Sports Dr Emmanuel Nchimbi nae akiangalia picha ya Jeniffer and Jerry Muro na pia  picha za Melisa and Harris zilivyopendeza 

Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...