Thursday, February 23, 2012

Wedding Bells New Arrivals- Feb/March

Visit our Exclusive boutique today...Tumeshusha mzigo mpya wa haja... Many dresses to choose from PURE-white, off white and ivory...pia kila size unapata.  Karibu sana.

Lets get a sneak peak of only one dress! (to see more dresses visit Wedding Bells- Msasani)
Model- Black Beauty- Lillie toto ya Oysterbay!
....quality guaranteed, best prices and best dresses in town!

It is the arrival we have been waiting for... Usikose! 
XO

Reactions:

22 comments:

 1. Mambo Doreen hongera sana kwa kazi nzuri. naomba kuuliza kama hapo dukani kwako una underskirts au petticoat kwa ajili ya kuvalia ndani ya magauni ya harusi.

  Kama unayo unauza au unakodisha na kwa bei gani??Nitashukuru sana.

  ReplyDelete
 2. Safi Mdau, Yes tunazo nyingi za aina mbalimbali... za wire, stiff, two layers etc... mara nyingi tunawaazima bure wateja wetu walionunua dress hapa Wedding Bells wanavaa na kurusha. Naweza kukudisha for only 30,000/= Karibu Sana

  ReplyDelete
 3. Asante sana kwa kunifahamisha. Nitakutembelea wakati ukifika Mungu atupe uzima.

  ReplyDelete
 4. samahani dada mm matarajia kufunga ndoa karibuni d unaweza nitajia bei zenu Za magauni?

  ReplyDelete
 5. naomba unijuze bei zenu zinaanzia kias gani ili nikija nije nimekamilika na contact zenu plz

  ReplyDelete
 6. karibu mpendwa, bei zinarange laki tano-tisa, unalipa mara mbili au mara tatu (unalipia polepole mpaka siku ya harusi) karibu sana

  ReplyDelete
 7. helo dada hapo dukani kwako ninaweza kupata viatu vya harusi rangi nyeupe au silver ambavyo siyo virefu yani kama nchi moja-moja na nusu?je nikija hapo nikaipenda nguo na nikataka kufanya fitting je huwa mnachage kiasi gani?

  ReplyDelete
 8. hello maa, viatu sileti tena these days. Tume concentrate more na dresses za aina zote (send off, wedding dresses, bridesmaids etc)

  Nguo kama ni yetu tunakufanyia fitting free of charge, kama umenunua nje na unahitaji tukufanyie fitting PIA TUNAKUFANYIA, but charges depends on the work needed to be done on that particular dress.
  Karibu sana...

  ReplyDelete
 9. jaman nimependa jins unavyojib wateja vizur,angekuwa mwingine angesema fika dukan utajua kila kitu.be blessed sana dia

  ReplyDelete
 10. Doreen Congrats for the good job ur doing. Kwa kweli una Customer Care ya kipekee. hivyo ndivyo inatakiwa kuwajali wateja wako. Mtu anapata moyo na kuridhika na majibu nayopata kwako tofauti na wafanyabiashara wengine wengi tu hawafanyi hivyo. Mungu aendelee kukubariki kutobagua na kuwajali wateja wako siku zote. Kazi nzuri Mamaa.

  ReplyDelete
 11. mambo je mnakodisha magauni na kwa shilingi ngapi

  ReplyDelete
 12. Dear Doreen,Mie ni size 16 naweza pata dress ya kukodisha when I come to Dar end this march???my wedding is on May na ningetaka kukodisha na sio kununua ...unaweza nipa quotation ya kununua na kukodisha mpendwa???ningependa ushauri wa colours pia do you give advices on the wedding???

  ReplyDelete
 13. i have the same question mnakodisha magauni kwa shilingi ngapi?thank you in advance

  ReplyDelete
 14. karibuni sana, magauni ya kukodi yapo pia, tunayakodisha kwa shs 350,000/-
  Pia big size dresses tunazo nyingi sana UK size 16, 18 and 20.

  ReplyDelete
 15. Hongera sana dada Doreen kwa kazi yako nzuri na ukarimu ilionao kama mfanyabiashara, napenda unifahamishe duka lako liko sehemu gani ili niweze kufika na kujionea mwenyewe.Asante

  ReplyDelete
 16. big up sister i love your blog, my weddin is commin up soon around october and still havent found a dress naomba direction jinsi ya kufika dukani kwako.

  ReplyDelete
 17. Karibu sana... dukani kwetu ni karibu sana na hospitali ya macho ya CCBRT Msasani... unakuja mpaka Namanga then unafuta njia ya msasani, tupo jirani na kanisa la lutherani.. ukishindwa kufika just call us namba zipo hapo juu kwenye blog... See you soon

  ReplyDelete
 18. hello doreen,hongera kwa kazi nzuri nimependa customer care yako, ninategemea kufunga ndoa september nilipenda sana gauni la bibi harusi mmoja hivi nimesahau jina but niliona picha zake kwenye blog yako ni current wedding, gauni ni cinderella la mkono mmoja vipi naweza pata hapo dukani kwenu?

  ReplyDelete
 19. Hello maa, ukikumbuka jina itakuwa vizuri. Yes unaweza kupata any dress ambayo umeona mtu kavaa kwenye Wedding Bells. Naweza kukuodea similar dress. Pia huwa zipo nyingi sana dukani unaweza kuja kujaribu na kuongea zaidi.
  Karibu sana.

  ReplyDelete
 20. ahsante sana nimekumbuka jina la bi harusi anaitwa nakitia, nitakutembelea soon.

  ReplyDelete
 21. Samahani mi natarajia kufunga ndoa hivi karibuni, naomba kujua gharama za kukodisha magauni ya harusi

  ReplyDelete
 22. Christina call us on +255715943333

  ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...