Wednesday, November 30, 2011

Tangazo Tangazo- Christian Ladies Party- Tarehe 9/12

Ni katika kusheherekea miaka 50 ya Uhuru- Captive Creative Company wanakuletea ''Kick it up Christian Ladies Party''

Ni Kongamano kubwa la aina yake linalokuhusu wewe mama na dada wa kikristo.

Kutakuwa na watoa mada mashuhuri na utauliza haya utajibiwa

 • Ndoa na familia
 • Mali na Sheria
 • Ujasiliamali na Kujiamini
 • Usichana/Uchumba na Ukristo
 • Afya na Saikolojia
 • Watoto na makuzi- Katika kizazi hiki cha DotCom, Facebook, BBM, Twiter, Iphone, etc.
Wazungumzia mada ni pamoja na
-Mwana Saikolojia Dr. Hogan Kutoka Muhimbili /Mtaalamu wa Sarakani ya Shingo ya Kizazi.
-Mchungaji Mama Maboya
-Waimbaji na Waombaji
-Mwanasheria mahiri kutoka WLAC 

Haijalishi Dhehebu, ili mradi wewe ni  mama au Dada wa Kikristo- Njoo tufanye maombi, Tumuimbie bwana, Tuelimishwe na Tucheze Disco la Yesu Pamoja.

Ni siku ya Ijumaa tarehe 9/12/2011
Muda: Saa 4 asubuhi na kuendelea
Mahali ni: City Christian Center, Mtaa wa Olympio- Karibu na Chuo kikuu Mzumbe
 • Chakula na Vinywaji Vitatolewa
Ticket za Kushiri ni shilingi 30,000/- na Zinapatikana
 • Silver Spoon- Mlimani City
 • Maduka yote ya Cassandra
 • Wedding Bells- Msasani Namanga
 • Steers- Posta
 • Tina Maria boutique- Millenium Towers
 • Hadees Food World- Posta
 • Maznat Bridal Salon- Mikocheni
Au Wasiliana kwa simu namba 0752 233 222 na 0713 344 272 pia 0784 171092

Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...