Stellas' wedding reception... lets see how it went....
...beautiful dress from Wedding Bells...
basi maneno hapa tulifika.. yeye anatuambia mwanamke piko, clivage na ku-shine!! ongeza mng'aro bibi eee :-)
picture moments...
Very happy for Bosi wetu Stella... huyu ndio huwa anasababisha mizigo yangu ifeke vizuriiii dukani
....as the enter the reception....
DHL's Rocking...
helloooooo everyone...
Watu weeeee
Cheeeeeeerz
tha cake..... sweeeet
...the dance....
and more dance....
and more dance.....
...bride is showing what her mama gave her... :-)
....B- band was there to make it happen....
LLB- Ladies Loves Banana that's for sure... :-)
Many Congratulations on your Wedding Stella, may Almighty protect your marriage always
We love you!
Umependeza dada, Mungu akutangulie katika maisha mapya ya ndoa yawe na furaha na amani, piga sana goti umuombee mumeo asibadilike, manake siku hizi ndoa nyingi hazidumu!
ReplyDelete