Wednesday, March 17, 2010

Latest Trends in bridal fashion- Raffles

Raffles are so in fashion right now.. Visit http://www.brides.com/
Dresses from my favourite designers Demetrios and Monique Lhuiller

6 comments:

  1. Nice one i like it.

    ReplyDelete
  2. hy
    Thanx 4 ur good post
    My dia tunaomba kujua duka lipo sehem gani and when you post please remind us about the shop
    location
    Thanx
    Angel

    ReplyDelete
  3. dada Doreen jamani utukumbuke na sisi wanene ili kipindi kikifika tusikose tumechoka kushona, ila una taste hongera sana

    ReplyDelete
  4. kila size my dia mnapata karibu sana.

    Duka lipo msasani karibu na kanisa la KKKT jengo linaitwa frontline complex utaona bango letu Wedding Bells.

    But pia nitaweka location hapo juu kabisa, asante, kweli ni wengi wameuliza hilo.

    ReplyDelete
  5. kila size my dia mnapata karibu sana.

    Duka lipo msasani karibu na kanisa la KKKT jengo linaitwa frontline complex utaona bango letu Wedding Bells.

    But pia nitaweka location hapo juu kabisa, asante, kweli ni wengi wameuliza hilo.

    ReplyDelete
  6. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...