Thursday, January 23, 2014

New Arrivals January/February 2014

Haya tena wadau wa Wedding Bells... Sorry for not posting for some few days. Tumekuwa tukisort mzigo wetu mpya ulioingia wiki hii. Now new dresses available, biggest stock ever, best quality and unbeatable prices.

We love to see you at our store. Ndio tunapiga picha some dresses. Will post them as soon tukimaliza.

Mfano wa nguo zilizofika ni za aina zote, za kubana shepu, zenye vimikono, zenye lace kwa juu, cinderellas, etc etc...Kama 


Kanansia


Rhoby Mwita 


Hellen 



Patricia



Stella 


Consolata Mtana


Latifa 

Irene 

Ritha 

Kana send off 

Gesla


Kanansia 


Asikwambie mtu...kwa nguo za harusi tunaongoza kwa ubora wa kimataifa na style za kisasa zaidi. Kila NGUO unayoifikiria utaipata
Usikose kupitia Wedding Bells this week.
We love YOU!


0 comments:

Post a Comment