Thursday, October 11, 2012

Wedding Bells imahamia Mwenge njia ya TRA

We are so happy to get a new space big and nice but still working on it.
Sasa Wedding Bells tumehamia mwenge ile barabara ya TRA ukishamaliza magorofa ya jeshi tu mkono wa kulia. Tumepata sehemu kubwa hadi nawe mteja wetu mpendwa ufurahie kujinafasi
 
Mzigo mpya ndio tunaupanga… ukisoma hapa kama ulikuwa unasubiria wahi leo hii hii..Magauni mengi ya kila aina na ya ukweli in TZ
 
Fundi anamalizia rangi nje… kafuhahiaje nimempiga picha kasema nae nimuweke kwenye blog :-) 
 
Ndani wakiwemo interior designers wakipanga vitu (nguo, makabati na kufix things) 
 
mambo ya ukweli yakianza kupendeza…  



 
Wanaume sasa unaweza pia toa oda yoyote ya suit unayoitaka dukani kwetu. Order ya kiume it takes only two weeks!! ni wakati wako sasa 
 
Mashati ya suit na tuxedos kama unayooona kwenye E! red carpert yapo hapa 
Sasa tungependa tukupendezeshe wewe bibi harusi na pia bwana harusi kwenye kila kitu. WEewe sema tu unachokataka nasi tunakutimizia.
Karibuni sana.
 
NB: Picha kamili za duka Zima and picha za new arrivals zinakuja soon. Wapi Sinta kupiga picha :-)
 

0 comments:

Post a Comment