Sunday, April 1, 2012

Final Day at Harusi trade Fair!!

We thank God it is final day at Harusi Trade Fair.... Our banda Today

My girls: Eunice and Eliza...

Mama Wedding Bells


....sample dresses... 

mazagazaga ya harusi kutoka Special Occasions

kibox cha kuwekea mkono wa pongezi(pesa), cake topper, guests book, flower bouquet holder  

....tukihudumia wageni... 




..waiting kwa hamu picha za fashion show...hii dress aliivaa Sinta...alipendezaje?!!

XO

2 comments:

  1. Mambo doreen, humu kwnye blog yako kuna mishono naipendaga huwa natamani niikop lkn pcha zako umezfunga hazicopiki je unaweza kuzifungua tukapata nafasi ya kukopi km hutajali?

    ReplyDelete
  2. nimependa sana na mungu akipenda nitakuja hapo kutafuta gauni kwajili ya wedding yangu yan si mazuri mbaya

    ReplyDelete