Monday, February 6, 2012

Wedding Bells on tIGO Advert

HEY, did you see tangazo la Tigo pesa on TV?... If yes umemuona huyu mrembo akiigiza huko...with off the shoulders' fab dress from Wedding Bells... lets us share how we prepared her.


...adding some few accessories...


...gwalaaa, ndio hicho namuweka.. 

Looking beautiful indeed! 

...finished with little bracelets.. 

...ready to go for makeup...
..Vizia la TV umuone alivyopendeza zaidi..

1 comments:

  1. jamani naomba umwambie Davina anenepe kwa kweli hivi sijapenda,kuna wakati alipungua vizuri lkn cyo hivi

    ReplyDelete