Wednesday, November 30, 2011

Tangazo Tangazo- Christian Ladies Party- Tarehe 9/12

Ni katika kusheherekea miaka 50 ya Uhuru- Captive Creative Company wanakuletea ''Kick it up Christian Ladies Party''

Ni Kongamano kubwa la aina yake linalokuhusu wewe mama na dada wa kikristo.

Kutakuwa na watoa mada mashuhuri na utauliza haya utajibiwa

  • Ndoa na familia
  • Mali na Sheria
  • Ujasiliamali na Kujiamini
  • Usichana/Uchumba na Ukristo
  • Afya na Saikolojia
  • Watoto na makuzi- Katika kizazi hiki cha DotCom, Facebook, BBM, Twiter, Iphone, etc.
Wazungumzia mada ni pamoja na
-Mwana Saikolojia Dr. Hogan Kutoka Muhimbili /Mtaalamu wa Sarakani ya Shingo ya Kizazi.
-Mchungaji Mama Maboya
-Waimbaji na Waombaji
-Mwanasheria mahiri kutoka WLAC 

Haijalishi Dhehebu, ili mradi wewe ni  mama au Dada wa Kikristo- Njoo tufanye maombi, Tumuimbie bwana, Tuelimishwe na Tucheze Disco la Yesu Pamoja.

Ni siku ya Ijumaa tarehe 9/12/2011
Muda: Saa 4 asubuhi na kuendelea
Mahali ni: City Christian Center, Mtaa wa Olympio- Karibu na Chuo kikuu Mzumbe
  • Chakula na Vinywaji Vitatolewa
Ticket za Kushiri ni shilingi 30,000/- na Zinapatikana
  • Silver Spoon- Mlimani City
  • Maduka yote ya Cassandra
  • Wedding Bells- Msasani Namanga
  • Steers- Posta
  • Tina Maria boutique- Millenium Towers
  • Hadees Food World- Posta
  • Maznat Bridal Salon- Mikocheni
Au Wasiliana kwa simu namba 0752 233 222 na 0713 344 272 pia 0784 171092

Tuesday, November 29, 2011

TANGAZO TANGAZO- The Shoe Lounge- STORE CLOSE OUT SALE


Attention to all shoes lovers.... Je ulishawahi lisikia duka la viatu vya Ukweli kutoka marekani?? ...visigino imara na ngozi za ukweli. Duka linaitwa 'THE SHOE LOUNGE' lipo mbuyuni, Ada Estate- Namanga. Wanafanya biggest CLOSE OUT  SALE mwezi wote wa December. Watembelee upate kiatu chako wewe bibi harusi, cha shemeji, cha kazini, sandals etc. ....maelezo zaidi wapigie simu namba 0655 080 208
RSVP Roma
Bi harusi mahala penu hapa.... nendeni mapema kwani duka linafungwa kabisaaa...don't sit and wait!  
RSVP zaza


Bandalino
Cha Shemeji, zawadi ya Xmas...itapendazaje?!! vipo vingi aina mbali mbali...hiii ni sample tu

Air Lurcano

....The Shoe Lounge- its all about style and quality!!

BCBG Lacota

Enzo Angiolini- Wafer

Enzo  Angiolini
Fergalicious

Kensie Girl 



J.Reene

Steve Madden
....and i got this number below.... how lovely!! 
Liliana Couture

Everything must go!!
Wahi jipatie kiatu chako cha Xmas

Monday, November 28, 2011

Grace and Bujiku's Wedding

Another beautiful Wedding Bells bride Grace Buninange married her lover Bujiku Hamphrey



...dressed by Wedding Bells, Grace wore a stunning mermaid dress....looking elegant and gorgeous....

as they enter the church...

...they said their vows....


....beautiful lace jacket or kibajaji, hair band and simple necklace and earrings also from Wedding Bells..

....picture moments after church...




reception decor... beautiful 








Biharusi alianza na kumtambulisha mumewe..... 


...cheeeers....

the cake..sweeeeet 


..the dance...


...mila dance.... 


....for young and old......wote twende!

picture moments

....a lovely couple...











...with so much joy!



....Wishing you a happy married life.... 

 Wedding Bells Loves YOU!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...